Nenda kwa yaliyomo

Nikolai wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Mt. Nikolai Kasatkin.

Nikolai wa Japani (jina la awali Ivan Dimitrovich Kasatkin, kwa Kirusi Иван Дмитриевич Касаткин; 13 Agosti 183616 Februari 1912) alikuwa mmonaki, shemasi, padri na hatimaye (1880) askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi.

Kama mmisionari, ndiye aliyeingizwa Ukristo wa Kiorthodoksi nchini Japani.[1] Alipofariki nchini kulikuwa na waumini 33,000 katika jumuia 266.

Mwaka 1970 alitangazwa mtakatifu "aliye sawa na Mitume".

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Святый Николае, иерарше равноапостольне... молися о всем мире", Pravoslavie.RU, February 2007, in Russian

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.